Mwakilishi viti maalumu wanawake CUF wilaya ya Chake Chake Mhe: Salma Mohamed Ali, akimkabidhi dawa na vifaa tiba daktari dhamana wa hospitali ya Chake Chake, dk Yussuf Hamad Idd vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 7.5 vilivyotolewa na mwakilishi wa Jimbo la Chake chake Mhe: Omar Ali Shehe.
Daktari dhamana wa hospitali ya Chake Chake Yussuf Hamad Idd, akitoa neno la shukuran kwa mwakilishi wa viti maalum wanawake wilaya ya Chake Chake na mwakilishi wa Jimbo la Chake Chake, baadaya kutoa dawa, vifaa tiba na mashuka kwa ajili ya hospitali hiyo, vyenye thamani ya zaidi ya shilingi mlioni 8.5.
Mwakilishi wa viti maalumu wanawake CUF wilaya ya Chake Chake Mhe: Salma Mohamed Ali, akitoa zawadi kwa watoto waliolazwa katika wodi ya watoto ya hospitali ya Chake Chake, kabla ya mwakilishi huyo kukabidhi dawa, vifaa tiba na mshuka kwa uongozi wa hospitali hiyo.




1 comment:
Jamani zile jela tulizochangia hapa DMV zimeishia wapi naona kimyaaaa Bi Salma na Bw Shamis tafadhalini muwe wawazi tuna haki ya kujua kiasi gani na matumizi yake asanteni
Post a Comment