Baada ya hapo jana msanii Diamond kumpondea kiana Nay wa Mitego kuhusu kile kilicho sababisha Nay na mpenzi wake Siwema watemane kuwa ni kwasababu Nay hajui kupetipeti, Nay wa Mitego nae ameibuka na dongo hili, mara baadaya kubandika pichi hiyo hapo juu.
"Jamani eeh?!! Embu tuongee ukweli, ivi uyu ndugu yetu @diamondplatnumz Angekua na hali iyo apo kwny picha, Je!? Ange weza kua na huyo Mwanamke apo @zarithebosslady na unadhani uyu #Zari angemkubali? Kama c vijisenti na huu umaarufu alio nao?!
Hawa jamaa wanajua sana promo, hii yote ni promo ya nyimbo yao ya 'Mapenzi Au Pesa'
2 comments:
Nay nay nay wa mitego baba baba nakukubali umesema kweli umepasua gogo.kwa picha hapo juu ya ledomoza toto zuri zari the boss lady haki ya nani asingekukubali sema fedha zako tu ndo anazo zipenda na umarufu wako.ngoja uishiwe kama utamsikia zari zarina toto la kichotara la kidosi chezea wadosi wa ki uganda wameshajifunza toka enzi za idi amin.
mwana mke muzuri akiishi na ugly dude ujue lazima kuna kitu anakaa naye au anakitafuta otherwise hawezi kabisa ishi na ugly dude. eve a handsome boy hawezi ishi na ugly girl atakuwa anatafuta kitu kwake.
habari ya mujini ndo hiyo nay nay nay wa mitego babaa ameshapasua gogo kama kawa.
waafrika maneno meeengi, huyu Nay wa nanihii na wewe anonymous unayemshangilia mimi siwaelewi jamani. pesa zikishachumwa hutumiwa na ni juu ya mchumaji kutumia anavyotaka, roho inapenda vizuri daima kwa hiyo si dhambi wala jambo la kushangaza Diamond kujilia vizuri kwa pesa yake. Mambo ya ooh ana sura mbaya, ooh! mwanamke wake mzuri sana huo ni wivu tu kwani huyu Nay siuoni uzuri wake lakini aliwahi kuwa na mpenzi wa asili ya kihindi na alizaa naye. Mifano ipo mingi tu ya beauty and the beast Seal na Kate Hudson na wengineo. Chumeni pesa kasha mkipenda nunueni Ferari lamborgini rollsroyce whatever ni pesa yako. na haiingii akilini uwe na pesa bado unakula kwa mama ntilie, lazima ukale Kimpiski. you got to do what you got to do Diamond, it is your time man!!!
Post a Comment