Advertisements

Thursday, May 28, 2015

PICHA ZAIDI ZA MAHAFALI YA MRS. MATRIDA MKAMA

Matrida Mkama mara tu baada ya kukamata nondo yake .

Dr, Sweetbert Mkama naye hakua nyuma kumpa ushirikiano wa hali na mali mama watoto wake.
Dr sweetbert Mkama akiwa na Matrida Mkama pamoja na mwambata wa jeshi wa ubalozi wa Tanzania Col. Adolph Mutta.

Saa matata aliyopewa zawadi Dr Sweetbert Mkama kutoka kwa mama mwenye Nyumba wake kama ishara ya shukrani zake kwa ushirikiano alioupata kutoka kwa baba mwenye nyumba wake.





3 comments:

Anonymous said...

ameshika nondo ya degree au master au phd ya somo gani?wakuu

Anonymous said...

Haijalishi kapata nondo gani lakini Huyu mama kanifurahisha sana, wabongo wengi huwa wana graduate University of maryland university college lakini yeye ni university of maryland college park yaani terrains.
Hongera mnoo mama mkama, umuni inspire na mimi kurudi shule kumbe penye nia Pana njia na Mwenyezi Mungu humpigania kila mwenye kujituma.

Anonymous said...

watu wengine bwana kwani unadhani watu wanauliza kwa kumkebehi au kumsanif tunataka kujua tu ni somo gani kasomea au hiyo nondo ni ya aina gani zipo ndondo nyingi tu bwana.watu wanauliza ili na sisi tujifunze si eti leo nondo nondo.wanawake kama hawa wana inspire watu sana so just tell us ni nondo ya nini.au ni siri.d