Sheila Mgaza akiwa katika picha ya pamoja na ndugu jamaa siku ya kukamata nondo chuo kikuu cha Maryland May 16, 2015.
Familia ya Sheila ikinunua maua ya pongezi watakayomzawadia baada ya kukamata nondo ya MBA
Sheila akipongezwa na mmoja ya wanafamilia,
Sheila akiwa katika picha ya pamoja na familia yake.
Picha zote na Tito Mazali
Picha zaidi bofya soma zaidi
Wanafamilia wakimpongeza Sheila kwa kumzwadia maua.
Familia ikifurahi na Sheila
Mama na mwana katika picha ya pamoja
Ndugu wakifurahia Sheila na Julius kukamata nondo
Wanafamilia wakipata picha ya kumbukumbu.
No comments:
Post a Comment