ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 11, 2015

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA SHAMBA LA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA


Project ya ujenzi wa machine ya kukaushia samaki na matunda iliyobuniwa na Dr Temba imeenza kuwaka kama unavyoona kwenye picha project manager bwana William akiiwasha machine hiyo kwa mara ya kwanza na pembeni yake ni Dr Temba na nyuma William ni Sam fundi umeme.


Dr Temba akiongeza speed ya machine hiyo kwa majaribio kabda ya vifaa vingine kufungwa na company yake ya T.E.S kutoka Brooklyn. NY.

Hapa ni sehem itakayofungwa compute maalum itakayoendesha machine hii.

Wageni wakiaangalia machine hiyo kati ya wageni hao kulikuwepo senate wa bunge la nchi ya  Liberia .

Bwana William akiwaelezea jambo wageni wake

Bwana William project menage akitoa maelezo mbele ya wage wake waliotembelea kwenye shamba kubwa la University of  The District of Columbia. Ndani ya shamba hili kunafugwa nyuki, samaki na kunalimwa matunda mboga pia. 

1 comment:

Anonymous said...

Jamani, kwa nini mnafanya recycling of the same petty project? Of course, to a certain degree, it is an achievement but the story becomes a bit boring the more you detail every facet of it!