Advertisements

Saturday, May 23, 2015

Reggae Time ya Pride Fm..........May 23 2015

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio kutoka studio za Vijimambo Radio na Kwanza Production zilizopo Betsville Maryland, U.S.A Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: