Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipomtembelea Rais mstaafu wa Zanzibar , Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani Zanzibar kumjuulia hali baada ya kurudi kutoka matibabu nchini China karibuni. Waziri Mkuu alikuwepo Zanzibar kwa shughuli za kikazi . Picha na Chris Mfinanga
No comments:
Post a Comment