ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 7, 2015

WIZARA WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA YAKABIDHI VYANDARUA KWA HOSPITALI NANE ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimkabidhi Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman msaada wa Vyandarua kwa ajili ya kumaliza maradhi ya malaria Zanzibar katika hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja.
Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman akitoa neno la shukrani baada ya kupokea msaada wa vyandarua ambao utatumika katika Hospital nane zinazolaza wagonjwa Unguja na Pemba.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimuaga Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman baada ya makabidhiano ya vyandarua yaliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Unguja.

No comments: