JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; TEREHE 6/6/2015 SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA SIKU YA JUMAMOSI
NJOO UONYESHE UTAMADUNI WETU
1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940
FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY NA MAMBO MENGINE MINGI .
KIINGILIO BUREEEEE!
No comments:
Post a Comment