Watanzania wa DMV na vitongoji vyake wakijumuika pamoja katika futari ya pamoja katika mwezi huu wa Ramadhani siku ya Jumamosi June 2015 Silver Spring, Maryland.
Watanzania DMV wakipata futari ya pamoja siku ya Jumamosi June 20, 2015.
Futari ya pamoja ikiendelea.
Ally Bambino katika picha
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
2 comments:
sijawaona mabibiye wa dmv watoto wa mujini na mijemba ya mujini au wako kibaruani.
Mtembeza shingo kama fan nayeye sijamwona.ankol Lukas mkuu hajatajwa mtu maana nawewe kwa kubana coments hujambo.
Post a Comment