Advertisements

Monday, June 22, 2015

KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI HUKO SILVER SPRING MD USA

 Baada ya kisomo cha kumuombea  marehemu baba wa Fatma Khalfan, ikiendelea ikiongozwa na ustadh Mohammed Saleh, baadae sala ya magharib ikifuatiwa na kama desturi waumini kupata futari
kisomo cha kumuombea  marehemu baba wa Fatma Khalfan kikiendelea.
kisomo cha kumuombea  marehemu baba wa Fatma Khalfan kilichofanyika siku ya Jumapili Silver Spring, Maryland.
Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja katika kisomo cha kumuombea  marehemu baba wa Fatma Khalfan
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Keki ya Father's Day ilioandaliwa na akina mama kuwapongea baba wa watoto wao katika futari ya pamoja iliofanyika katika mji wa Silver Spring Maryland, USA
 Dada Asha Haridh akiwahudukia watoto kukata keki ya Father's Day, ikiwa ishara ya kuwapongeza akina baba
 meya wa jiji la greenbelt Sheikh Seif akiwa na mama mwenye nyumba wake

No comments: