Mr Henry Michael Wimile
Leo 18/06 ni miaka 7 tangu ulipotutoka baba yetu tunakukumbuka daima pengo lako halitazibika kamwe. Unakumbukwa na mkeo kipenzi Happiness Mbeyela. Watoto wako Hellen, Harris, Hope elly, Victor na Comfort
Bwana ametoa na Bwana ametwaa
No comments:
Post a Comment