ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 23, 2015

LOWASSA AIPIGIA KURA YA NDIO BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Anna Chilolo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akipiga kura ya ndio wakati bunge lilipokuwa likipitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Anna Chilolo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mh. Mussa Azan Zungu wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. 

1 comment:

Anonymous said...

Ni jambo la kushangaza wakati wa kuchangia bajeti wengi wao wabunge hawakuwepo bumgeni kisa kusaka wadhamini ma kufanya kampeni za chinichimi na Hasa Mr LOWASSA ambaye anaonekana wazi kuwa anafanya kampeni kubwa saana na ndio maana anaendelea kukusanya wadhamini! Jambo linaloshangaza sana mbona wenzao hawajafanya kampeni?? Ina maana yake maadili na kanuni za Chama chetu yamekiukwa kwa kiwango kikubwa hivyo?? Hatuelewi kabisa. Lazima hili jambo.liamgaliwe saana la sivyo chama kimekosa uadilifu. Hali tete..