Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwa juu ya gari lake, akiwapungia mamia ya wana CCM waliofika kumdhamini huko Lamadi, wilaya ya Busega mkoani Simiyu, pamoja na wananchi wengine. Mh. Lowassa, aliwasili huko Jumanne Juni 10, 2015, ili apate wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Lowassa, ambaye kwa sasa yuko Kanda ya ziwa, alipata maelfu ya wadhamini
Mh. Lowassa, akiondoka Lamadi
Lamadi
Mh. Lowassa, akipokea fomu za udhamini ambazo tayari zimejazwa na wana CCM, kjtoka kwa katibu wa CCM wilaya ya Busega, Juni 10, 2015
Wana CCM wa Lamadi, wakifurahia kuwasili kwa Lowassa kwenye ukumbi wa ofisi za chama hicho, Lamadi
Wakazi wa Lamadi, wakichukua picha za Mh. Lowassa, kjupitia simu zao za mikononi
Na wazee walikuwepo
Wana CCM wa wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, ambao walifika kumdhamini Mh. Lowassa, wakiimba na kucheza baada ya mgeni wao kuwasili wilayani humo








No comments:
Post a Comment