ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 23, 2015

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AWATEMBELEA WAGONJWA NA WAFIWA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ametembelea wagonjwa katika vijiji mbali mbali vya Mkoa huo vikiwemo Pitanazako, Chaani, Mahonda na Bumbwini Kiongwe.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ametembelea wagonjwa katika vijiji mbali mbali vya Mkoa huo vikiwemo Pitanazako, Chaani, Mahonda na Bumbwini Kiongwe. (Picha na Salmin Said, OMKR).

No comments: