Mazishi ya Mpigania Uhuru wa Tanganyika na Mbunge wa Bukoba na Meya wa Manispaa hiyo wa zamani mzee Samuel Luangisa yafanyika kijijini kwake Kitendaguro nje kidogo ya mji wa Bukoba.Mkongwe huyo wa siasa alikutwa na mauti wakati akiwa kwenye matibabu nchini Marekani. Mzee Luangisa alifariki siku ya tarehe 27 mwezi wa 5 na misa na kumuaga vilifanyika siku ya tarehe 2.
No comments:
Post a Comment