ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 2, 2015

MENGI Atukanwa kisa kurusha vipindi vya LOWASA..Anaka anaye mtumia SMS Za matusi


Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.
Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?

1 comment:

Anonymous said...

itakuwa swahiba wa mkuluu huyu aliyeetuma hii text.mungu nisamehe kama nimeweka dhana tayari.amen