ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 21, 2015

NAPE AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUTOKA MAOFISINI NA KWENDA KWA WANANCHI

1 comment:

Anonymous said...

Tatizo lako NAPE huwa unapayuka bila kufikiria matatizo yanayowakabili waTanzania\! Unawaonaje na unadhani walioko mbele yako wote wanaimani na unayosema! Umekalia kuzungumzia na kulaumu CHADEMA hiki ndio chama pekee cha upinzani kilichopo au tu kwa kuwa CCM mmeshajenga chuki binafsi na sijui kama mnaelewa nini maana ya kuruhusu vyama vingi!! kuwa na utulivu acha kupaniki.