ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 21, 2015

TAARIFA YA KISOMO DMV




Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatu


Kwa niaba ya familia ya ndugu yetu Saleh Mohammed wa DC tunapenda kuwaarifu kufanyika kwa kisomo cha kumuombea dua mzee wao, na wazee na jamaa zetu wote waliotangulia mbele ya haki.
Kisomo kitafanyika siku ya Jumaapili, Tarehe 21, June 2015 kabla ya futari yetu ya pamoja.

Adress ni 9717 Lawndale Dr, Silver Spring MD 20901.

Tunawaomba tufike mapema ili tuweze kufanikisha shughuli hii kwa wakati kabla ya Sala ya Magharibi.


Wabillaahi Tawfiiq
Shukran
Uongozi.
TAMCO

No comments: