Mwanajumuiya mwenzetu wa New York Bi Dyness Mosha amefiwa na kaka yake mkubwa- ghafla kutokana na pumu. Marehemu, Bw. Romeli Mosha, alikuwa akiishi mkoani Kilimanjaro, Tanzania mpaka mauti yalipomkuta siku ya Jumanne wiki hii. Tunaweza kuwasiliana na Dyness kumpa pole kwenye na namba ya simu (914) 356-7328 Shukran, Jumuiya ya Watanzania NY.
No comments:
Post a Comment