ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 30, 2015

TAZAMA HAPA VIDEO YA ALIKIBA CHEKECHA CHEKETUA (OFFICIAL VIDEO)

7 comments:

Anonymous said...

Mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

Yaani umenichafua Kiba nilijua unaleta kitu cha kuwafunga mdomo wabwabwaji nini umefanya tena mtu wangu.mbaya mnoooooooooooooooo

Anonymous said...

Hivi kichwa cha habari na hiyo clip ni vitu viwili tofauti,jaribu kuwa muangalifu katika uandishi.

Anonymous said...

nyinyi hamjui USANi huu ndo usanii bwana,jamaa anaonyesha talent yake.kwa design yake yakucheza.kiba katika ubora wake

Anonymous said...

kwakweli sauti yake ni tamu sana yani natamani angekuwa bwana wangu huyu kiba kwa sauti tu ananimaliza na uhandsome wake.mmmmhhe is really an artist.

Anonymous said...

jamaniii!!!

haya ni matumizi mabaya ya fedha. hivi ni kweli hawa wasanii wetu wanakwenda nchi za ng'ambo kufanya video kama hii! kweli?? si bora angefanyia tu hapa hapa na ikawa ni neema kwa hawa madirector wetu kuliko kwenda nje kufanya upuuzi kama huu. kwanza inaonesha kabisaa kwamba hawa walioshiliki kwenye hii video sio aina ya mziki wao wako tofauti kabisa hata uchezaji haieleweki kabisa.sijui tatizo ni mwanamuziki, washauri au directors?

Jay said...

Just how the hell huyu kijana kawa mwanamuziki bora Tanzania? Video haindani na wimbo na hata tungo ni ya kishenzi haina maana yeyote. Nani anamshauri kutunga? Vijana wa bongo fleva wameishiwa kweli, hawajuwi kuandika nyimbo zao wenyewe ila kukopi tu vitu vya wenzao. Just kill bongo fleva for good this is a shame, kina Ruge na Clouds Media mmeshakula hela za unga za kutosha acheni kuwatumia vijana na kuwapotosha kwa kuwapa air time when they don't deserve it.