Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa boti (Majini) katika suala zima la kurahisisha kuhamasisha kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,hafla hiyo imefanyika mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club,jijini Mwanza,kulia ni Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa magari (nchi kavu) katika suala zima la kurahisisha kuhamasisha kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,hafla hiyo imefanyika mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club,jijini Mwanza.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza
mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club wakati wa hafla fupi ya uzinduzi
wa kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,kampeni hiyo imezinduliwa leo jijini Mwanza .
Mkurugenzi
wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza mapema
leo asubuhi ndani ya Yatch Club wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa
kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,kampeni hiyo imezinduliwa jijini Mwanza.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza
mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club wakati wa hafla fupi ya uzinduzi
wa kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,akiwa
amezungukwa na baadhi ya Wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali ambao
watahusika kwa namna moja ama nyingine kushiriki kuhamasisha watu
mbalimbali katika suala zima la kutangaza utalii wa ndani.
Picha ya pamoja mara baada ya kufanyika kwa kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,hafla hiyo imefanyika mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club,jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment