ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 11, 2015

WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BUNGENI BAJETI KWA MWAKA 2015/16

Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (Mb) akionyesha Begi la Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 wakati anawasili katika Viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (MB) akiwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16, Mjini Dodoma leo.

1 comment:

Anonymous said...

mikopo kwenye bajeti 75%..?