Advertisements

Tuesday, June 23, 2015

YALIYIJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO

1
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akihitimisha Hoja ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha, Bungeni Mjini Dodoma Juni 23, 2015.
2
Waziri Mkuu, Mizengo Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi, Bungeni mjini Dodoma.

4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya na Mbunge wa kigoma Mjini Peter Serukamba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum, Anna Abdallah (kushoto) na Al Shymaa Kwegyir wakitoka kwenye kumbi wa Bunge mjini Dodoma.(Picha zote na ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

Anonymous said...

Kwa aina ya wa bunge na viwango vya elimu tulio nao haishangazi kuona bajeti hizi kuwa zinapita kiulaini kabisa kwani naamini zaidi ya nusu ya wabunge hawaelewi kinachoendelea hapo mjengoni. Ifike wakati tuwe na wabunge walio na elimu ya ngazi ya degree.Niaibu kuwa na law makers wasiokuwa na uwezo wa kuelewa contents za bills zinazo jadiliwa,au kujua athari za maazimio ya sheria,au bajeti kabla ya kupigia kura.