ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 10, 2015

ZIARA YA KINANA BUKOBA VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kemondo wilaya ya Bukoba Vijijini .(Picha na Adam Mzee)
 Wananchi wa Katoro wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye
 Wakazi wa kata ya Rukoma wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye alikuwa akijibu hoja za wakazi hao zilizowasilishwa kwenye risala yao.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimu wananchi wa kata ya Rukoma,wilaya ya Bukoba vijijini.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments: