Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Kashelo kata ya Lulembera ,wilaya ya Mbogwe ,Geita.
Katibu Mkuu wa CCM yupo kwenye ziara ya kujenga na kuimarisha Chama mkoani Geita pamoja na Kukagua,Kuhimiza na Kusimamia utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa Kata ya Bwelwa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi nyumba ya mwalimu wa shule ya sekondari Mbogwe,mkoani Geita.
Katibu Mkuu wa CCM akiwasalimia Wazee wa kijiji cha Nyasato
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi za kutoka chama cha Upinzani Chadema,ambapo kila kituo alichosimama wanachama wwengi wa Chadema walijiunga na CCM.












No comments:
Post a Comment