Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Akifurahia mara baada ya kutua Bukoba na tayari kuwahutubia wakazi wa mji wa Bukoba leo wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mashujaa/Uhuru Platform Bukoba leo Jumatatu tarehe 15 june, 2015. Kiongozi huyu ambaye amefuatana na viongozi wenzake wa juu wa chama hicho, yuko kwenye ziara ya kukitangaza chama na sera mpya ya azimio la arusha lenye usasa.
Picha na Faustine Ruta, Bukoba
| Wakazi wa mji wa Bukoba wakifuatilia mkutano huo kwa makini, Picha kwa hisani ya Matukio-Siasa |
Kulia ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' nae aliambatana na msafara huo mjini Bukoba.
MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' akiteta na Wananchi mjini Bukoba wakati wa mkutano huo wa adhara katika uwanja wa Uhuru Platform
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiongea na wakazi wa Mji wa Bukoba leo Jioni jumatatu ya juni 15, 2015
No comments:
Post a Comment