
CCM DMV TUNATOA PONGEZI KWA MWENYEKITI WATAIFA NA WAJUMBE WOTE TOKA KAMATI KUU HALMASHAURI KUU MKUTANO MKUU KWA KUTUPATIA MGOMBEA MCHAPAKAZI MAKINI AMBAYE ATAPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHA, MAPINDUZI OCTOBER MWAKA HUU NA CHAMA KITAPATA USHINDI MKUBWA TUNA IMANI NAYE KUBWA MH JOHN POMBE MAGUFULI HONGERA SANA
6 comments:
pombe mwaka huu itanywiwa klabuni;slaa atakwenda magogoni.
acheni kujipendekeza baada ya mamvi kupigwa chini.....hamuwezi kupata msaada wowote wa kifedha hawa watu wako madarakani 30 plus years wakishinda its normal to them hawata wakumbuka ngo. pigeni box acheni uvivu
haya haya kumekucha.wana diaspra wamarekani mtu wenu mbona kapigwa chini?sasa kaja huyu ambaya uchapakazi wake tunataka kuona mifano yake mtujuzu japo kwa uchache.
watanzania watazidi kufanywa mazuzu tena misukule forever mpaka mwisho wa dunia.ccm ipo madarakani na itakuwepo kwa vile watanzania sisi ni waoga tusio na uthubutu na tusiona fikra zenye upeo mzuri kichwani.
wanafaziliana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu taifa la misukule tusio na uthubutu.woga umetujaaa.
ccm oyee.ccm number one.halaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
yangu macho na tuendele kulazwa tu wadanganyika na wazanzibari.
CCM dmv, I can't believe the U.S. Govt allows such things. Iko kazi.
I really admire u guys in U.S, u have so much time for ccm, chadema, do u actually get a benefit from this? Is sera of com going to inrease employment opportunities where you are?
Post a Comment