Na wewe mzee umechoka sana yaani huna hata ladha tena nenda kijijini kaunge mkono wanakijiji na kunywa nao kahawa!! Hakuna kipya inachoweza kutoa muda wote ulookuwepo yanatosha ulofanya usijiharibie! Huoni mzee Kawawa alikubali kutulia naye mzee Msuya kajikaloa kimya! Achana na siasa sasa.. Duuhh.
Mzee ukome. Wazee wenzako na busara zao walikaa kimya. Uliamini Lowassa atapita ndiyo maana ukamsindikiza kurudisha fomu. Aibu kwako sasa. Mimi si mwana CCM lakini naipongeza kamati iliyotoa haya majina bila kuogopa jina la mtu. Uongozi wa nchi haupatikani kwa ushabiki kama soccer. Msururu wa Lowassa ni wa mkumbo bila kutafakari kwamba nchi imebadilika. Hatuhitaji Rais mwenye msururu wa watu walio mchangia kama Lowassa. Kingunge mwambie Lowassa ajaribu 2025. Poleni kambi ya Lowassa
3 comments:
Hapo ndio kazi imeanza. Jibu unalo mwenyewe!! Utajijuuuu!! Nendabkapimzike siasa waachie wenyewe muda wako umeisha babuuuh..

Post a Comment