Hotuba ya Mhe Balozi Amina Salum Ali akikubali matokeo ya mkutano mkuu
wa Chama Cha Mapinduzi ambao ulikuwa ukimchagua mgombea wa nafasi ya
urais.
Balozi Amina alishika nafasi ya pili katika uchaguzi huo nyuma
ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na mbele ya Dr Asha-Rose
Migiro
No comments:
Post a Comment