Advertisements

Friday, July 31, 2015

IBADA YA KISWAHILI NA SEMINA YA PETER MITIMINGI

Mchungaji Peter Mitimingi akitoa semina kwa waumini wa kanisa la kiswahili Columbus, Ohio iliyofanyika Jumapili July 26, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani. Picha zote na Akili Mtaalam, Mwakilishi wa Vijimambo, Columbus, Ohio.
Mchungaji wa ibada ya kiswahili Columbus, Ohio akitoa mahaubiri kwa waumini wa ibada ya kiswahili iliyofanyika siku ya Jumapili July 26, 2015 Columbus, Ohio.
Waumini wa ibada ya kiswahili wakifuatilia semina ya mchungaji Peter Mitimingi iliyofanyika siku ya Jumapili July 26, 2015 Columbus, Ohio.
Wanakwaya wakiimba moja ya nyimbo za injili kwenye ibada ya kiswahili iliyofanyika siku ya Jumapili, Columbus, Ohio.

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: