Wanamuziki wa bendi wanaoishi DMV na wanaounda kundi la bendi ya Jabali Africa wenye asili ya Kenya siku ya Jumamosi Julai 15, kundi hilo lilitumbuiza katikati ya jiji la Washington, DC na kukusana watu na wengi wakiwa Vijana wa zamani.
Mwanamuziki aliyewahi kuvuma miaka ya nyuma Sam Mapangala akiimba wimbo wa vunja mifupa ambao ndio uliokua chaguo la wengi.
Wadau wakichea wakati Bendi ya Jabali Africa ilipokua ikitumbuiza.
Wadau wakiendelea kusakata Rhumba
Wadau wakipata picha na Sam Mapangala(kati)
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment