ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 13, 2015

JUDY NA MARY WASHEREHEKEA SIKU YAO YA KUZALIWA

Judy na Mary wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana kwenye sherehe ya siku yao ya kuzaliwa siku ya Jumamosi July 11, 2015 siku ambayo ni tarehe yao ya kuzaliwa.
Judy akibadilishana mawili matatu na Aunty Wahida, Mapenzi na Mary mara tu walipokutana.
Judy na Mary wakiwa katika picha ya pamoja.

Familia ya Judy wakipata picha ya kumbukumbu.


No comments: