ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 17, 2015

MA WINNY CASEY AWATAMBULISHA LADY KATE, MUMEWE NA MISS AFRICA USA KWA BALOZI LIBERATA MULAMULA

Miss Africa USA Meron Wudneha akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo Washington, DC kwa utambulisho.
Mkurugenzi na maratibu wa mashindao hayo Lady Kate akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo Washington, DC kwa utambulisho.
Kutoka kushoto ni Mr. Jerome Ndi ambaye ni mume wa Lady kate, Lady Kate, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, Miss Africa USA 2014-2015 Meron Wudneha na Mkurugenzi wa Miss Tanzania USA, Ma Winny Casey wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments: