
Mmoja wa viongozi CUF akiongea kwenye mkutano wa Wananchi ulioandaliwa na Mbunge wa Lindi Mjini Mhe. Salum Barwany leo Jumapili katika kuwashukuru wananchi wa Jimbo lake.

Mkutano wa CUF mjini Lindi leo Jumapili July 19, 2015 ulioandaliwa na Mbunge Mhe. Salum Barwany katika kuwashukuru wananchi wa Jimbo lake.

Wafuasi wa chama cha CUF wakihudhuria mkutano huo.
No comments:
Post a Comment