ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 14, 2015

MSIKILIZE MAGUFULI ALIPOHUTUBIA MBAGALA LEO(VIDEO)

4 comments:

Anonymous said...

none,nobody,no one,no political party can uplift us from anything/any mess and poverty that we face in our country. Only our selves. Believe me there is no saint in hell.

hata upinzani nao pia hawawezi;unadhani hakuna vibaraka huko?

tusidanganyane;tanzania hii si ya watanzania ni ya wageni;si nchi yetu tena.na tukikaa kusubiri mtu atusaidiye kama hatujui kujisaidia wenyewe tunaondoka wazima wazima in hell.

dj imaniye hii comment.

Anonymous said...

aliandaliwa toka 2011.mtoto wa ben kisiasa.hongera zake.ila kimoja tu.
kama kweli atatokomeza kero za walalahoi.mbona aliwavunjiya nyumba bila kuwapa muda wahame?na kujenga barabara na nyumba za national housing mbona ziliuzwa kwa bei poa sana kwa wageni?wazawa hawana haki?

je sera hizo hizo za maji taka ndo zitakazotukomboa?

ni hayo tu.nawakilisha.

tunanywesha mvisho mpya kwenye chupa ya zamani iliyokwaruzika na chakavu na isiyopendeza.kweli tumefika hapa wadanganyika?

eti anasura mbaya mchana usiku anasura nzuri maajabu ya dunia haya.

ccm number one;ccm number one.tutaisoma number.