Wednesday, July 8, 2015

NGALU BUZOHERA AKAMATA NONDO YA MASTER OF HEALTH SERVICES ADMINISTRATION

Ngalu Buzohera akiwa katika picha ya pamoja na mama yake mzazi Mrs.Rehema Buzohera mfanyakazi Hazina,wizara ya Fedha  Dar es Salaam Tanzania siku ya Jumamosi June 27, 2015 chuo kikuu cha Strayer alipokamata nondo ya Master of Health Services Administration
 Ngalu Buzohera akiwa katika picha ya pamoja na mama mkubwa Zainab Kastico siku ya Jumamosi June 27, 2015 chuo kikuu cha Strayer alipokamata nondo ya Master of Health Services Administration
 Kutoka kushoto ni mama mkubwa Zainab Kastico, Ngalu Buzohera, Yusuf Buzohera anayeishi Houston, Texas na mama mzazi Mrs.Rehema Buzohera mfanyakazi Hazina,wizara ya Fedha  Dar es Salaam Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Jumamosi June 27, 2015 chuo kikuu cha Strayer siku Ngalui alipokamata nondo ya Master of Health Services Administration
Kutoka kushoto ni Yusuf Buzohera, mama mkubwa Zainab Kastico, Ngalu Buzohera kadogoo wa Joyce Rwehumbiza, mama mzazi Mrs Rehema Buzohera na Joyce Rwehumbiza wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Jumamosi June 27, 2015 chuo kikuu cha Strayer siku Ngalui alipokamata nondo ya Master of Health Services Administration

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana mdogo wangu Ngalu kwa kuhitimu masomo yako. Mungu akubariki.