Mmoja ya wanaDiaspora akiwahi kusubili maafisa wa passport na NIDA waliokuja maalumu kwenye kongamano kuba la Diaspora Austin, Texas kuendeleza zoezi la passport mpya na kusajili wanaDiaspora kupata vitambulisho vya Taifa
Mwanadiaspora akihakiki form yake kabla ya kuelekea kwenye kituo cha kitambulisho cha Taifa.
Naibu Kamishna wa Uhamiaji (D.C.I.) Bi. Sabra Mohamed ambae ni Head Uraia na passport upande wa Zanzibar akihakiki form zilizojazwawa wanaDiaspora waliokuja kushughulikia maswala ya passport, Austin, Texas siku ya Alhamisi September 26, 2024.
Sackibu Mohamed Kabyemela ambae ni mkaguzi wa Uhamiaji, Kurasini, nchini Tanzania akihakiki mitambo ya passport kabla ya kazi ya zoezi la passport kwa Diaspora kuanza.
Kulia ni Issa Salum. afisa wa usajili mwandamizi akiendelea na zoezi la usajili wa vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa mmoja ya wanaDiaspora waliofika kwa wingi kupata huduma hiyo siku ya Alhamisi September 26, 2024 Kalahari Resort Austin, Texas.
Theresia Matonya ambae ni afisa uchambuzi mifumo ya komyuta akifanya maandalizi ya usajili vitambulisho vya Taifa (NIDA) Picha na Vijimambo Blog.
Sackibu Mohamed Kabyemela ambae ni mkaguzi wa Uhamiaji, Kurasini akiendelea na zoezi la passport kwa mmoja ya wanaDiaspora waliofika kupata huduma hiyo siku ya Alhamisi September 26, 2024 Kalahari Resort, Austin, Texas.
Theresia Matonya, afisa uchambuzi mifumo ya komyuta akiwa kwenye zoezi la kupicha picha kwa mmoja ya wanaDiaspora waliofika kufuata huduma hiyo.
Kulia ni Issa Salum. afisa wa usajili mwandamizi akiendelea na zoezi la usajili wa vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa mmoja ya wanaDiaspora waliofika kwa wingi kupata huduma hiyo siku ya Alhamisi September 26, 2024 Kalahari Resort Austin, Texas.
Theresia Matonya, afisa uchambuzi mifumo ya komyuta akiwa kwenye zoezi la kupicha picha kwa mmoja ya wanaDiaspora waliofika kufuata huduma hiyo.
Theresia Matonya, afisa uchambuzi mifumo ya komyuta akiwa kwenye zoezi la kupicha picha kwa mmoja ya wanaDiaspora waliofika kufuata huduma hiyo.
Asha Nyang'anyi katika pichaa ya pamoja na Theresia Matonya, afisa uchambuzi mifumo ya komyuta
No comments:
Post a Comment