Akina baba wakijiandalia kifungua kinywa baada ya sala ya Eid Al fitr nyumbani kwa Bilal Brooklyn, Bilal aliwakaribisha Watanzania wa New York kufika kwake na kujipatia kifungua kichwa hicho pamoja na familia yake.
Meza ilipendeza kwa chakula cha Kitanzania chenye asiri na nakish nakish ya visiwa vya karafuu.
Akina mama nao wakijiandanilia maanjumanti kwa ajili ya kifungua kinywa.
Mdhamini wa pendo wa Tahil Bilal, Mama mwenye nyumba akipata ukodak nyumbani kwake hapo kiroho safi, kwa Taswira zaidi ya nini kiliendelea bonyeza soma zaidi.
No comments:
Post a Comment