Advertisements

Friday, July 3, 2015

PITA PITA YA VIJIMAMBO DALLAS, TEXAS

 Kushoto ni Rasheed Mkakile akipata picha ya pamoja na rafiki yake wa siku nyingi tangia nyumbani, Washington, DC na sasa hivi wote wakiishi Dallas Texas, Dickson Sipemba siku ya Alhamisi Dickoson na Dj Luke (hayupo pichani) walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake na kumkuta anaendelea vizuri.
 Kutoka kushoto ni Rasheed Mkakile, Dickoson Sipemba na Dj Luke wakipata picha ya pamoja na Rasheed Mkakile nyumbani kwake Dallas, Texas.

1 comment:

Anonymous said...

mungu amsaidiaye lakini tukae nakukumbuka kwamba mungu si wakuchezewa mtu unatakiwa uwe na imani thabit.vijimambo team mbarikiwe daima washikaji kwa kwenda kumjulia hali.