Advertisements

Saturday, July 4, 2015

RAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO WA BALOZI WA ARGENTINA NCHINI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Argentina nchini Tanzania Mhe. Bibianna Lucila Johnes ikulu jijini Dar es Salaam na kisha kufanya mazungumzo mafupi na balozi huyo.(picha na Freddy Maro) 

No comments: