Waumini wa dini ya kiislam New York wanawaalika Watanzania waishio
maeneo ya New York na vitongoji vyake kuhudhuria tafrija iliyoandaliwa
kwa ajili ya kuadhimisha kukamilika kwa mfungo wa Mwezi mtukufu wa
Ramadhan.
Tunaombwa kufika kwa wakati kuanzia saa nane mchana leo hii, ili tuweze kujipanga na kuwapa watoto wetu
muda wa kutosha wa kusherehekea siku hii adhimu.Tunaomba ushirikiano
wa kila mmoja wetu ili tufanikishe Sherehe yetu.
EID MUBAKAH
VENUE:PACIFIC HALL
3038 Atlantic Av.
Brooklyn,NY,11208
Between Essex/Shepherd.
Shukran.

1 comment:
Asante kwa mwaliko. Tunaomba time ya kufika.
Post a Comment