Advertisements

Saturday, July 4, 2015

ULINZI WAIMARISHWA NDANI YA JIJI LA WASILO LALA NEW YORK CITY WIKI ENDI HII YA 4TH JULY


Hapa ni polisi akimpatia maelekezo wapi kwa kupita msafiri katika kituo kikubwa cha mabasi cha Port Authority New York City.
Hapa ni Times Square sehemu maarufu sana ukifika New York City.
Njemba zimesimama zikipanga mikakati ya jinsi ya kujipanga sehemu yao ya kazi.
Polisi wakipeana majukumu tayari kuingia mzigoni.
Kikosi maalumu cha Federal Emergency tayari kwa kukabiriana na lolote ndani ya 4th july wiki endi hii.

No comments: