Advertisements

Friday, July 10, 2015

WATANZANIA JAPAN WAKUTANA NA BALOZI BURIANI BAADA YA KUWAKILISHA HATI YA UTAMBULISHO KWA MFALME AKIHITO

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. Batilda Salha Buriani akiongea na Watanzania waishio nchini humo mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan. Picha na Mariam mwakilishi wa Vijimambo Japan.
 Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. Batilda Salha Buriani akigonganisha glasi na mmoja wa Watanzania waishio Japan siku alipowakaribisha nyumbani  mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan.
 Maafisa, wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japani wakiwemo Watanzania waishio nchini humo wakimsikiliza  Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. Batilda Salha Buriani alipokua akiongea nao mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan.
Maafisa, wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japani wakiwemo Watanzania waishio nchini humo wakimsikiliza  Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. Batilda Salha Buriani 
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: