
Watu wanne wamefariki dunia na wengine kumi na mmoja kujeruhiwa,watatu kati yao hali zao ni mbaya na kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya KCMC kufuatia ajali iliyohusisha magari ya FUSO na HIACE katika daraja la Mto Kikavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.

Fuso likiwa limeharibika vibaya kuytoka na ajali hiyo

Magari yakiwa kwenye foleni baada ya kutokea kwa ajali hiyo
No comments:
Post a Comment