Diaspora toka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora 2015 lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam Kutoka kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly, Bi. Agnetta Kamgisha na Mariam Kalala Nyang'oro kutoka Jumuiya ya Watanzania Nort Carolina
Watanzania wakiwakilisha Diaspora kutoka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel jijini Dar. Kutoka kushoto ni Agnetta Kamgisha, Mariam Kalala Nyang'oro na Asha Nyang'anyi kutoka DMV.
Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akipata ukodak na wanaDiaspora kutoka Marekani Mariam Kalala na Agnetta Kamgisha.
Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akipata ukodak na wanaDiaspora kutoka Marekani Mariam Kalala na Agnetta Kamgisha.

1 comment:
DMV OYEEE!!!RAIS WETU,SANDALY,MUNGU ATAKULINDA NA KUKULIPA!!!!!!
Post a Comment