ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 14, 2015

HII HATARI SASA....UKAWA WAUNDA JESHI LAO WANAJIITA FFU WA CHADEMA WAONE MAVAZI YAO YALIVYO


11 comments:

Anonymous said...

Hata CCM wanao Green brigade. Chadema needs them more than CCM does...kwani CCM wana ulinzi wa dola.
Na pia kwa Tanzania sio ajabu kuwa wa walinzi binafsi. Kuna makundi ya sungu sungu, na pia private security guards wa kila aina, including wenye kubeba silaha za moto. Hawa ulioweka hapa hawana silaha za moto. Naomba ubadili kichwa cha habari, kwa ni dhahiri huu ni uchochezi wa upande mmoja. Ahsante.

Anicetus said...

yup!!! In 1970's mabomu yanalipuka kule Ocean Road- watu wengi walikufa kwa kukombea uhuru na heshima ya muafrica na kuondoa apatheid au social and economic disrimination in Africa as a whole.. CMM took the risks to assure that all humans are respected, given equal justice, and benefitis for most or all the time. This responsiblity remained to be the core value of the Tanzania Governace regardless of ruling political party.

Anonymous said...

uchochezi gani wewe anonymous wa 7:01pm, kichwa cha habari hakibadiliki na wewe fungua blogu yako uweke kichwa chako cha habari. bado hamjaona subirini kampeni zianze na huyo kapi lenu.

Anonymous said...

Nilikuwa napita aka yamefikiya haya
Jeshi la polisi mko wapi
Hallo mko CCM bibi na bado

Anonymous said...

Mkuki kwa nguruwe
CCM ni Mali ya jeshi kumbe inauma Ukawa wakiwa wa ulinzi wao

Anonymous said...

Mwenye hii blog kawa kama Michuzi. CCM tu.

Unknown said...

mimi nafikili hilo sio tatizo.ila wasiwasi wangu
ni hawa wanaojiita vyama vya upinzani kwahali hii ya siasa za mwaka huu
sizani kama twaweza pata kiongozi wa kweli maana asilimia kubwa ni waroho wa madaraka.
hili swala la huyu rowassa litaikost sana ukawa siku za usoni
huyu mimi sina

Unknown said...

tulipofikia sasa kwa upinzani huu
hamna kiongozi wa kututoa
hapa wanapopakataaa
wananjaa sana hawa
pongezi kwako dr sraa

Anonymous said...

Well said na maoni ya hapo juu. Huu ni uchochezi na uwekaji wa doa kutoka kwa wapapmbe wa sisiem. Hawaendi na facts. Wako tayari kuchapisha chochote ili tu kuleta uwoga kwa wananchi. Kwa taarifa zenu smear tactics zitashindwa mwaka huu. Thank goodness kwa social media kwani kwa haraka sana mbinu za ccm za kuvuruga amani zinaweza kutambulika kwa haraka na kusawazishwa. Try again! Ccm kuweni wastaarabu. Acheni kusambaza uongo. It won't work this time.

Anonymous said...

Tumechoka na maneno Uchocheni
Uvunjifu wa amani
Tunataka mabadiliko na maendeleo
CCM fungeni midomo yenu
Tunaichukia CCM Kama hitler

Anonymous said...

Ulinzi wa amani nchini ni kzi n wajibu wa polisi. Acheni mawazo mafinyu!