Thursday, August 6, 2015

KIGWANGWALA KAM-BEZA LOWASSA MTANDAONI, JIONEE HAPA


August 5-2015 alitumia page yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla‘

1 comment:

  1. kutafuta umaharufu usio na mpango, EL akiingia magogoni utajifisha wapi? huu ni mwaka hatari sana kwa CCM.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake