Thursday, August 6, 2015

Mh Magufuli Akipiga Tumba na Mh JK akicheza na Wasanii katika Hafla Maal...

5 comments:

  1. Wakoloni walipokuja walitukuta tukicheza ngoma, wakatutawala, wakachukua rasilimali zetu tukajitahidi kuwafukuza wakaondoka, tukajitawala wenyewe, tukajijeuza mafisadi na sasa tumerudi pale walipotukuta ( wacheza ngoma) namna hii hatutaacha kuitwa nchi maskini

    ReplyDelete
  2. hatutaki serikali ya namna hii tena ovyo ovyoo kuserebuka ovyooo wakati wananchi wanalala na nje ajira tata shule tata wao wanapeta na kula starehe.mwafyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

    na aende.aaaaaaaaaaaaaaaaaaaah.

    ReplyDelete
  3. yaani Rais asiache kufurahia eti watu wamelala na njaa, mwache rais acheze afurahie enjoy mr president!!!!

    ReplyDelete
  4. Time for change. Another side. Ukawa. Karibuni.

    ReplyDelete
  5. Obama alipocheza Kenya wengi mlimsifia..Mfyuu, kusoma hamjui picha pia hamuoni ni party hiyo mlitaka akifika afanye nn?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake