Advertisements

Thursday, August 6, 2015

Mh Magufuli Akipiga Tumba na Mh JK akicheza na Wasanii katika Hafla Maal...

5 comments:

Anonymous said...

Wakoloni walipokuja walitukuta tukicheza ngoma, wakatutawala, wakachukua rasilimali zetu tukajitahidi kuwafukuza wakaondoka, tukajitawala wenyewe, tukajijeuza mafisadi na sasa tumerudi pale walipotukuta ( wacheza ngoma) namna hii hatutaacha kuitwa nchi maskini

Anonymous said...

hatutaki serikali ya namna hii tena ovyo ovyoo kuserebuka ovyooo wakati wananchi wanalala na nje ajira tata shule tata wao wanapeta na kula starehe.mwafyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

na aende.aaaaaaaaaaaaaaaaaaaah.

Anonymous said...

yaani Rais asiache kufurahia eti watu wamelala na njaa, mwache rais acheze afurahie enjoy mr president!!!!

PETRO said...

Time for change. Another side. Ukawa. Karibuni.

Anonymous said...

Obama alipocheza Kenya wengi mlimsifia..Mfyuu, kusoma hamjui picha pia hamuoni ni party hiyo mlitaka akifika afanye nn?